Wadau,
Kama kichwa cha habari kinavyosema. Nanunua magari yaliyogongwa ya aina zifuatazo:-
- Toyota Hilux
- Toyota Surf
- Rav 4 Old Model
- Isuzu Wizard
- Suzuki ya aina yoyote
- Gari nyingine zinazofanana na hizo ila iwe ya juu na isiwe jamii ya saloon cars
Masharti
- Gari iwe na engine yake pamoja na gear box vikiwa intact.
- Isiwe imekaa sana na kunyofolewa vitu vya ndani
- Iwe na matairi yote.
Mawasiliano kupitia whatsapp (0785168001) na bei itategemea ubovu wa gari na baada ya ukaguzi na fundi wangu.
Karibuni.