Wakuu habari zenu, Naomba kama kuna anaefahamu mahali wanapofundishia ushonaji nguo na kutarizi anifahamishe.
nenda pale mwenge kuna fundi anaitwa chris ana chuo pia
Hongera kwa uamuz mzur wa
kujifunza ufund,mm cpafaham mahal moja kwa moja ila ninachokushaur we
unapokuwa ktk mizunguko yako jaribu kuangalia mahal wanashona hvyo then
unamfuata anayeshona unamweleza kiu yako tena mnaelewana kwa bei ndogo
unapata mafunzo kazini ndo me ninavyojua.