Natafuta mahali pakusoma tuition kwa Mwanza

RIKAB

Member
Joined
Aug 13, 2012
Posts
47
Reaction score
2
wanajamvi mie naulizia mahali pa tuition center masomo ya physics, chemistry na hesabu kwa kidato cha tano ( kwa Mwanza) mwenye kujua vituo hivyo vilipo huko mwanza tusaidiane ili nimpeleke ndugu angu . Ntashukuru kwa msaada wakuu
 
Uliolewa bila harusi wewe.
 
Dogo we ni wa div.5 tu, kama umefaulu, umefaulu kwa kuangalizia.
 
una bahati MODS,wamekubadilishia title! allah! watu tupo kazini we unaleta mipovu yako hapa!
 
haahaahaa mods safii...!huyu dogo hajielewiii
 
Back
Top Bottom