utawauwaa walimu wetu hawa...!
wanajamvi mie naulizia mahali pa tuition center masomo ya physics, chemistry na hesabu kwa kidato cha tano ( kwa Mwanza) mwenye kujua vituo hivyo vilipo huko mwanza tusaidiane ili nimpeleke ndugu angu . Ntashukuru kwa msaada wakuu
acha hasira wewe...lazima utakua mwalimu wewe.. na hasira zako sijui utamfundisha mwanafunzi gani aelewe..