Natafuta mahindi ya kusafirisha nje ya nchi

Natafuta mahindi ya kusafirisha nje ya nchi

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Hello wanajamvi,

Mtu fulani ughaibuni anataka mahindi, tani 100 (kilo laki), ila kwa Tshs. 400 kwa kilo.

Kama hili linawezekana kwako, njoo tuongee. Mda huo unatupa kisogo...
 
Hello wanajamvi,
Mtu fulani ughaibuni anataka mahindi, tani 100 (kilo laki), ila kwa Tshs. 400 kwa kilo.

Kama hili linawezekana kwako, njoo tuongee. Mda huo unatupa kisogo...
Hiyo bei haiko saivi.
Huku niliko nauza kilo 550 na tena moisture niwe nimehakikisha inasoma 12.9 kushuka chin.
 
Mkuu sidhani kama utapata mahindi,yaani kwa sh 400 ambapo debe ni almost 7000,hii bei ilikuwepo mwezi wa sita saba na nane,sasa hivi kilo iko kwa 700/au 800.
 
Bei ipo chini kilo sasa hivi ni 650/=
 
Back
Top Bottom