Natafuta Makabati ya Simu yanayowaka Taa

Natafuta Makabati ya Simu yanayowaka Taa

The bump

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2019
Posts
1,488
Reaction score
2,908
Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu.

Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje?

nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya cocacola ila naombeni mwenye connection pa.kuyapata na namna naweza yamiliki niweke dukani kwangu.

Kama ni bure ila mzigo unanunua,Nipo tayari naombeni kuunganishwa na wahusika kwa wanaowajua.

IMG-20231226-WA0001.jpg
 
yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu.

mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote.
aaah sawa mkuu ila tusubiri wakulungwa labda wana info zozote
 
Wauza Simu wa JF mlioko K.KOO njooni basi
 
Back
Top Bottom