The bump JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 1,488 Reaction score 2,908 Dec 26, 2023 #1 Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu. Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje? nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya cocacola ila naombeni mwenye connection pa.kuyapata na namna naweza yamiliki niweke dukani kwangu. Kama ni bure ila mzigo unanunua,Nipo tayari naombeni kuunganishwa na wahusika kwa wanaowajua.
Msaada ndugu zangu wafanyabiashara hasa wenye maduka ya simu. Naulizia yale makabati ya simu ya kampuni yanayowaka huwa ni bei gani na yanapatikanaaje? nasikia hayauzwi ni kama mafriji ya cocacola ila naombeni mwenye connection pa.kuyapata na namna naweza yamiliki niweke dukani kwangu. Kama ni bure ila mzigo unanunua,Nipo tayari naombeni kuunganishwa na wahusika kwa wanaowajua.
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Dec 26, 2023 #2 kwani zile si huwaga wanaweka taa za mikanda mkuu...?
The bump JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 1,488 Reaction score 2,908 Dec 26, 2023 Thread starter #3 fundi bishoo said: kwani zile si huwaga wanaweka taa za mikanda mkuu...? Click to expand... yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu. mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote.
fundi bishoo said: kwani zile si huwaga wanaweka taa za mikanda mkuu...? Click to expand... yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu. mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote.
The bump JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 1,488 Reaction score 2,908 Dec 26, 2023 Thread starter #4
The bump JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 1,488 Reaction score 2,908 Dec 26, 2023 Thread starter #5
fundi bishoo JF-Expert Member Joined Jun 26, 2018 Posts 14,264 Reaction score 27,132 Dec 26, 2023 #6 The bump said: yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu. mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote. Click to expand... aaah sawa mkuu ila tusubiri wakulungwa labda wana info zozote
The bump said: yawezekana ila yale yanakuja yakiwa tayri na taa zake toka kiwandani mkuu. mfano hilo la ktel kwenye pcha usiku linawaka kenyewe lote. Click to expand... aaah sawa mkuu ila tusubiri wakulungwa labda wana info zozote
The bump JF-Expert Member Joined Nov 22, 2019 Posts 1,488 Reaction score 2,908 Dec 26, 2023 Thread starter #7 Wauza Simu wa JF mlioko K.KOO njooni basi
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Dec 26, 2023 #8 Ngoja waje kukupa muongozo...