Natafuta Makampuni au mashirika yanayohitaji surveyor

Natafuta Makampuni au mashirika yanayohitaji surveyor

juniorsurveyor

New Member
Joined
Sep 17, 2022
Posts
4
Reaction score
2
Nina uzoefu wa miaka mitatu katika taaluma hii,Natafuta makampuni au mashirika yanayohitaji huduma ya land and mine surveying.

Nina uzoefu katika kazi zifuatazo;

1. Building surveying
2. Cadastral surveying
3. Road construction(engineering survering)
4. Civil 3D as Autocad
5. To operate total station and level machine
6. Topographic surveying
 
Mpima una miaka 3 katika game na unasema una uzoefu wa Hali ya juu katika njanja zote hizo bingwa?

Nyanja ngumu hizo kuzibobea mkuu.

Jiite junior surveyor alafu omba kazi
 
Mpima una miaka 3 katika game na unasema una uzoefu wa Hali ya juu katika njanja zote hizo bingwa?

Nyanja ngumu hizo kuzibobea mkuu.

Jiite junior surveyor alafu omba kazi
sawa nitafanya hivyo
 
Back
Top Bottom