juniorsurveyor
New Member
- Sep 17, 2022
- 4
- 2
sawaUmejiunga Leo na Leo hii unaomba kazi?. Kweli una Hali mbaya kijana. Mcheki jamaa anaitwa Ushimen. Akusaidie Lau MAWAZO KWANZA
sawa nitafanya hivyoMpima una miaka 3 katika game na unasema una uzoefu wa Hali ya juu katika njanja zote hizo bingwa?
Nyanja ngumu hizo kuzibobea mkuu.
Jiite junior surveyor alafu omba kazi
Safiiiiiiiiiisawa nitafanya hivyo
mkuu nipe hata connection yoyoteSafiiiiiiiiii