Natafuta mapapai ya kununua kwa bei ya jumla kutoka shamba

Natafuta mapapai ya kununua kwa bei ya jumla kutoka shamba

ndesangao

Senior Member
Joined
Jan 9, 2014
Posts
110
Reaction score
28
Nahitaji papai kutoka shamba kwa bei ya jumla na isiwe mbali sana na jiji la Dar es salaam.Aweke namba zake hapa.
 
nahitaji papai kutoka shamba kwa bei ya jumla na isiwe mbali sana na jiji la dar es salaam.aweke namba zake hap.

duh .... aisee

mkuu ndesangao ... nimeotesha mipapai zaidi ya miti 200 hapo bagamoyo ya mwanzo kabisa karibu na baobab sec. ninategemea by november nitaanza kupata mavuno ya mwanzo papai ni za kisasa mbegu fupi hutoa papai kubwa yenye round shape .... ninaitunza vizuri sana

tuwasiliane zaidi
 
Last edited by a moderator:
nahitaji papai kutoka shamba kwa bei ya jumla na isiwe mbali sana na jiji la dar es salaam.aweke namba zake hap.

mkuu mapapai tunayo miti zaidi ya 200 na tunatarajia kuvuna mwaka huu shamba letu lipo dar hapo kitunda wala hata sio mbali waweza kuni pm au kutumia email muggywan@gmail.com :cool2::dance::majani7:
 
Back
Top Bottom