Natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35

Natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35

Mafeking

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2018
Posts
225
Reaction score
471
Wasalaam wakuu poleni kwa majukumu ya wiki nzima.

Awali ya yote mimi ni kijana wakiume natafuta marafiki wa jinsia zote umri kuanzia 25 hadi 35, dini yoyote na kabila lolote ambao tunaweza kushare ideas mbali mbali na michongo.

Sifa za marafiki ninao hitaji awe kwenye kada moja wapo kati ya hizi;

1. Mwanasheria
2. IT
3. Law enforcement units
4. Dactari
5. Dalali
6. Mission in town.

Kwa upande wangu mimi nina umri wa 25+.
Post graduate ( Nafanya interns somewhere)

Kwa aliye tayari kindly PM.

Muwe na wikiendi njema!
 
nimepata nazidi kutafuta wengine zaidi
 
Back
Top Bottom