Natafuta Marafiki wa kabadilishana mawazo

Natafuta Marafiki wa kabadilishana mawazo

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,092
Reaction score
5,386
Wapendwa wana JF
Napenda kujitokeza hapa kutafuta marafiki wa kuchat/kubadilisha mawazo
sifa:
1. Awe na umri wa miaka 40 na kuendelea
2. Awe ni mtu anayejishuhulisha (Independent)
3. Asiwe mlevi japo social drinker is ok

Nawatakia wikiendi njema!!!!
 
Back
Top Bottom