Mparee2 JF-Expert Member Joined Sep 2, 2012 Posts 3,092 Reaction score 5,386 Jun 15, 2013 #1 Wapendwa wana JF Napenda kujitokeza hapa kutafuta marafiki wa kuchat/kubadilisha mawazo sifa: 1. Awe na umri wa miaka 40 na kuendelea 2. Awe ni mtu anayejishuhulisha (Independent) 3. Asiwe mlevi japo social drinker is ok Nawatakia wikiendi njema!!!!
Wapendwa wana JF Napenda kujitokeza hapa kutafuta marafiki wa kuchat/kubadilisha mawazo sifa: 1. Awe na umri wa miaka 40 na kuendelea 2. Awe ni mtu anayejishuhulisha (Independent) 3. Asiwe mlevi japo social drinker is ok Nawatakia wikiendi njema!!!!