Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante kwa ushauri wako mkuu.Usipate tabu ya kutafuta watu usiowajua.
Nenda Mwenge pale kwa wauza nguo za kike, jenga mazoea na mmoja jifanye unauliza tips za biashara ya nguo.
Ukiwa pale jiongeze kwa kumpigia debe mteja akija unatoa customer care nzuri kisha ujiongeze kuchukua namba kwa kila msichana akupendezae machoni na rohoni mwako.
Utachagua uchati na yupi maana ukiwa mwepesi utajaza phonebook yako.
Unachotaka humu ni kusubiri Meli ubungo.
Hapo Magomeni Mikumi wewe sio mtu wa kukaa nje ndio maana unakuja kutafuta marafiki humu.Asante kwa ushauri wako mkuu.
Ngoja niskilizie humu kwanza, halafu ntaenda mwenge.
Ila inaelekea biashara ya nguo ni nzuri sana.
OkyI have a lot of male friends. Most of them are my colleagues, thus i need female friends now
Huu mtaa wetu sio wa watu kukaa saba nje. Kama umekaa mikumi utagundua kuwa ni mitaa ya wapemba/waarabu, huwa wana tabia fulani hivi ya kujitenga na kukaa ndani.Hapo Magomeni Mikumi wewe sio mtu wa kukaa nje ndio maana unakuja kutafuta marafiki humu.
Mimi nilikuwa natulia maskani mitaa ya shule ya Mzimumi. Hao waraabu rangi tu unawaogopa na hao wapemba.Huu mtaa wetu sio wa watu kukaa saba nje. Kama umekaa mikumi utagundua kuwa ni mitaa ya wapemba/waarabu, huwa wana tabia fulani hivi ya kujitenga na kukaa ndani.
We unawajua waarabu walivyo wabaguzi mkuu?Mimi nilikuwa natulia maskani mitaa ya shule ya Mzimumi. Hao waraabu rangi tu unawaogopa na hao wapemba.
Jitahidi ku socialize kidogo wewe ni mtu wa kujitenga sana ndani.
We unawajua waarabu walivyo wabaguzi mkuu?