Natafuta marafiki wa kike wakubadilishana mawazo

Topetope

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
277
Reaction score
30
Naomba marafiki wakike wanao weza tukabadilishana mawazo
 
oops....mimi ni wakiume....bahati mbaya....
 
ningejitolea ila jina lako sijalipenda. Kwaheri
 
wakiume hamuhitajiki kwani nyie hamna mawazo!
 
gia ya kuingilia - baadaye maudhui yanabadilika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…