Natafuta marafiki wa kike

Natafuta marafiki wa kike

Mruma J

Senior Member
Joined
Jan 27, 2018
Posts
123
Reaction score
82
Mimi ni kijana wa miaka 30 naishi Moshi Kilimanjaro nina mke na watoto 2 najishuhulisha na biashara mbalimbali ili kukidhi mahitaji yangu yakila siku..

Nahitaji marafiki wa kike wakuchat na kubadilishana mawazo kama dada upo tayari karibu PM unitumie sms tupeane namba sichagui dini wala umri karibuni sana


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rafiki wa kwanza wa kike ni Mkeo, badilishana nae mawazo mjenge familia hawa wa hapa text3 ya nne unapigwa mzinga
 
Back
Top Bottom