Mimi ni kijana wa miaka 30 naishi Moshi Kilimanjaro nina mke na watoto 2 najishuhulisha na biashara mbalimbali ili kukidhi mahitaji yangu yakila siku..
Nahitaji marafiki wa kike wakuchat na kubadilishana mawazo kama dada upo tayari karibu PM unitumie sms tupeane namba sichagui dini wala umri karibuni sana