Natafuta marafiki wa kike

Natafuta marafiki wa kike

jjs2017

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2019
Posts
2,025
Reaction score
4,276
Habari za wakati huu mimi ni kijana wa kiume, Mkristo.. kama kichwa cha habari kinavyo jieleza ... Nahitaji marafiki wa kike

vigezo

Awe mkazi wa Moshi au Arusha mjini, umri kuanzia miaka 18-26, awe mcha Mungu kweli na anaependa ibada, awe anapenda wazazi wake, ajipende mwenyewe kwanza, awe na mtazamo chanya juu ya maisha, mwajibikaji, asipende hela, awe na msimamo ktk maisha, awe anajielewa na kujitambua, awe anapenda watoto / mtoto au kua na watoto/ mtoto, awe anavaa mavazi ya heshima, dini mkristo..

Kama upo serious njoo in box tubadilishane namba za simu
 
Unatafuta marafiki vigezo vyote vya nn au mkeee?
 
Yani unatafta marafiki lakini unaweza vigezo lukuki we kama unataka demu si useme tu .....
 
Rafiki hatafutwi wanakuja to automatically we sema tu unataka demu
 
Back
Top Bottom