Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Ubarikiwe na bwana ....
haleluuuuuuuuya.nataka niwe karibu na sana na mungu.
Mimi ni mkristo natafuta marafiki walio okoka,
watakao nifanya nisiambatane na yale makundi niliyokuwa naongozana nayo.
Yale ya walevi.
Nimejaribu kuwaacha, lakini najikuta nimekuwa mpweke sana, kiasi cha kuwapigia simu na kurudi tena kwenye ma jack daniel's, konyagi, barcadi na mijitu mingine ya aina hiyo.
Asanteni sana.
Naona hii itakuwa sawa na Mwanafunzi kurushwa madarasa kutoka STD 1 hadi STD 7.
Nataka niwe karibu na sana na mungu.
Mimi ni mkristo natafuta marafiki walio okoka,
watakao nifanya nisiambatane na yale makundi niliyokuwa naongozana nayo.
Yale ya walevi.
Nimejaribu kuwaacha, lakini najikuta nimekuwa mpweke sana, kiasi cha kuwapigia simu na kurudi tena kwenye ma jack daniel's, konyagi, barcadi na mijitu mingine ya aina hiyo.
Asanteni sana.
Nataka niwe karibu na sana na mungu.
Mimi ni mkristo natafuta marafiki walio okoka,
watakao nifanya nisiambatane na yale makundi niliyokuwa naongozana nayo.
Yale ya walevi.
Nimejaribu kuwaacha, lakini najikuta nimekuwa mpweke sana, kiasi cha kuwapigia simu na kurudi tena kwenye ma jack daniel's, konyagi, barcadi na mijitu mingine ya aina hiyo.
Asanteni sana.
oooh amen. Nitafute mimi namba zangu unazo twende tukaihubiri injili ya bwana kwenye mataifa na yamjue mungu mwenyeenzi
kaka usifanye utani kwenye neno la mungu - sidhani kama umeamua kuokoa kweli.