Natafuta marafiki wa kubadilishana mawazo

Sagao

Member
Joined
Nov 2, 2010
Posts
10
Reaction score
5
*Habari zenu wana jamiiforum wenzangu? Naitwa Sagao niko Mbeya, natafuta marafiki wa kuchat nao popote ulimwenguni, sina ubaguzi wa dini, kabila wala umri. Email yangu ni sagaonew@gmail.com na mobile number ni +255767172221.*
 
pouwa ila naomba tujuze umri, jinsia yako,wapenda nn,ndo tutaenda sawa.haaala iz gaby frm dsm
 
wanajamii mi natafuta rafiki mcharuko awe jinsia ya kike namba yang ni 0653045235 c mwngne ni mm new comer wenu kwny jamiifomus gabriel.w.mkumbo aknownas sharogangster frm tbt bima in dar-es-saalam.
 
ok, kwa ss nmebadili mawazo natafuta rafiki mwema wa kubadilishana mawazo mwenye kupenda mabadiliko katika jamii cnaubaguzi yeyote anakaribishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…