Nina ujauzito wa mtu ambae baada ya kugundua nina ujauzito akaanza visa vya kunikwepa na kunikana. Sasa naona anataka anitelekeze na kuniachia majukumu mwenyewe. Amesema nijifungue kisha tutaongea na kuna muda hataki kabisa kugusia hilo swala.Ujauzito ni wa miezi mitano. Je nikijifungua haki...