Natafuta marafiki wa kuchat nao na kupeana ushauri

Natafuta marafiki wa kuchat nao na kupeana ushauri

canular

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2018
Posts
889
Reaction score
874
Habari zenu wana jf mie ni mkazi wa kunduchi nimekuja hapa kutafta marafiki wa kuchat nao na kubadilishana mawazo sja target umri kwa sababu wazo jema halina umri hivo bas karibuni sana wenye nia kama yangu, mie ni mwanaume miaka 35 kwa atae kua tayari naomba ani pm namba yake.
 
Kwani hapa hatuwezi kuchart unataka nini haswa huko mafichoni
 
Back
Top Bottom