natafuta marafiki wa WHATSAPP

Jayffa

Member
Joined
Sep 5, 2014
Posts
81
Reaction score
5
Kwa yoyote yule ambye yupo whatsapp nitafute hapa 0758082840,au weka namb yako
 
Natafuta marafiki wa whatsapp but uwe urafiki na siyo usumbufu
Duuuhh we Dada kweli MTU wawatu bila shaka utakua mweupe Wa Roho ,mweupe Wa mwili.

Utakua mnene Wa roho ,mnene Wa mwili

Roho kama izi zinapatikanaga kwa vibonge vibonge.
 
Hahahaa, Jamii forum mtaamka lini ?
Jf ni forums ya great thinkers lkn naona inaelekea kupotea.
Hawa watu msiojulikana naona mnakuja na mbinu nyingi za kutaka kuwajua member wa Jf, Mara taja shule uliyosoma ujuane na wenzako, Mara taja mahali ulipo, Mara Chuo ulichosoma , Leo hii mnataka namba zetu ili iweje? Mnaenda kugawa hela?
Basi kama ingekuwa ni hivi kusingekuwa na haja ya mods wakaficha details zetu/server.

USHAURI
Nawaombeni mods ,kwa member yeyote yule wa JF atoae details zake humu humu wakati taratibu za humu zinajulikana inabidi afutiwe account, lasivyo hamna haja ya kutunza server zetu humu.
Leo hii mpuuzi mmoja tu anakuja kuomba namba za watu humu pamoja na details zao then wat?
Mambo haya tushayazoea kule Facebook sio huku.
JF kuweni makini ,sio anaomba namba tu apa mnaanza kumimina contacts.

Mods lifanyieni kazi hili.
 
mtoa post unda group la urafiki watakufata huko mfahamiane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…