Natafuta marafiki wafanyabiashara

Hahahaha naona wenye migodi mnatongozwa sasa...

Heading:Natafuta mwanaume mwenye mgodi.
Wenye migodi fursa hiyo unashika mkono tu..

Napenda utani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Hahahaha naona wenye migodi mnatongozwa sasa...

Heading:Natafuta mwanaume mwenye mgodi.
Wenye migodi fursa hiyo unashika mkono tu..

Napenda utani [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Laiti ungejua😊😊...!Yaan nitongoze mwanaume☺☺☺...!

Laiti ungejua!
 
Jamani hebu tupeane gap...!msidhan kila mtu anatafta mapenzi...jamn hebu bas mjitahd kuacha utoto..!mbna kudharauania sana kwa wanawake kunazidi...tujibidishe mseme..tudange mseme..ss mnataka tufanyaje!!...!
Mie sio mtoto...!
Ndyo mm dume..kwwahyoπŸ€”
 
Laiti ungejua[emoji4][emoji4]...!Yaan nitongoze mwanaume[emoji5][emoji5][emoji5]...!

Laiti ungejua!
Kwanini usitongoze wakati hao ndo wenye konekisheni..

Hao ndo akikuhonga Ni milioni 10+ huko,tia juhudi mtoto mzuri.

Maisha haya yanahitaji mbinu mi naelewa we pambana tu..[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
..Kwanza ngoja nikuache tu.....Muwe mnatembea jaman..tembeeni. njooni huku mogodini .huenda ukafunguka akili zako ndg km kisoda!..wakati ww hapo ukiendelea kufikiri natafta mtu anihonge mwenzako ndo napaa...!mxiew ..!
 
Hahahaha mbona unatoa povu kidogo Sasa[emoji1787][emoji1787]

Nitolee povu jingi basi,kwani sikuuzi?????
 
we jamaa usijaze servers za JF bila sababu..... kama kwako ni ngumu kwetu rahisi tu... fuata mambo yako acha umaandazi..
Hahaha mzee huna mgodi mwache dada angu,unajizogeza wkt mgodi huna.. utampa Nini[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Kuna aina nyingi sana za madini.
Unataka aina gani.
Pia kuna vito vya thamani vya aina zaidi ya 100.

Nchi za wenzetu kila jiwe Lima thamani kwa uzito wake.

Taja aina kumi au ishirini za madini unayotaka watu watamiminika kukuletea mzigo.
 
kuna LGBT au queer people. Hawa huwa hawajitambulishi kwa jinsia fulani πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€. Dada lazima awe specific asije akachanganya mambo
Lakini hata hao LGBT hawa wana jinsia, hata wale wanaobadili wanachofanta ni ku switch side tu, kwa maoni yangu ujumbe wake ulipaswa uishie kwenye " wafanyabiashara "
 
Lakini hata hao LGBT hawa wana jinsia, hata wale wanaobadili wanachofanta ni ku switch side tu, kwa maoni yangu ujumbe wake ulipaswa uishie kwenye " wafanyabiashara "
Queer people huwa hawaji identify as wanawake au wanaume.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…