Natafuta marafiki wafanyabiashara

Nasoma maoni nitachangia baadae
 
habari mkuu..

nipo interested kujua zaidi kuhusu business ya madini... nasikia inalipa sana ukiwa makini na knowledge kubwa

ni mfanyabiashara mdogo namilik massage & spa studio, dry cleaners, Tshirt printing workshops, na photo & video service kwenye weddings







 
Njoo imbox Dada, Mimi nlikua Blocker wa Dhahabu. Niliacha na kwenda kusoma lakn kwa sasa nipo tayar kwa kuanza kaz. Njoo tuongee mengi na kubadilishana mawazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…