Natafuta marafiki wafanyabiashara

tatizo rule of the game yaa hii biashara haiko costant,nasikia sikuhizi kuna maduka ya serikali ya kununua madini,na hapa utakuta TRA wamekaa standbay,ngoja nisubiri maoni ya wadau kama watanishawishi na hii busy
 
[emoji4][emoji4][emoji4]..sawa..bora umeona kwa jicho kali...sinanht damu ya utapeli..point yangu huenda hujaielewa....!mie sio tapeli ..wala ht haja ya kukutana na mtu sio kmnunavyohis lol..pole sana
Hahahaha, sasa hy network itakuaje km huna haja ya kuonana na MTU
 
tatizo rule of the game yaa hii biashara haiko costant,nasikia sikuhizi kuna maduka ya serikali ya kununua madini,na hapa utakuta TRA wamekaa standbay,ngoja nisubiri maoni ya wadau kama watanishawishi na hii busy
Ni biashara nzuri ,ila ina changamoto nyingi
 
Sijamanisha wewe tapel dada ila ishu za madini zina matapel wengi mno waweza ukatafuta partner ukapata tapel
[emoji4][emoji4][emoji4]..sawa..bora umeona kwa jicho kali...sinanht damu ya utapeli..point yangu huenda hujaielewa....!mie sio tapeli ..wala ht haja ya kukutana na mtu sio kmnunavyohis lol..pole sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…