Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 40,905
- 86,203
Hahahaha ooh kumbe kuna ishu unaitaka?Mimi sijamaanisha kufanya biashara na mtu humu ndan..hebu nisome fresh unadhan mie sijitambui eh...!kuna ishu naitaka..ww niache
OK,nakuelewa vemaYeah..hii haiitaj kuonana na mtu mkuu ..jus netwek ...
Aisee mkuu ngoja niongeze pesa biashara hiyo uwe vizuri.Hahahaha, milioni 1 ni sawa na $ NGAPI ? sidhani km utapata hata gramu 20 ,ila sio mbaya, mwanzo mgumu
HahahahaAisee mkuu ngoja niongeze pesa biashara hiyo uwe vizuri.
Sijakuelewa ukifanya hii biashara una kaa huko kwenye migodi?inategemea..lakini huku migodin 65-70..mjin inategemea na purity ..kuna mzee baba m1 anapeleka Kenya..lakini hanipi ushirikiano...niunge tu mzee baba..maisha popote
Billinea una nicheka Sawa tutakutana merelani Arusha😀😀Hahahaha
hahahaha, mie sio bilionea wala milionea ,ila naijua hii biashara vzr mno ,yaani mnoBillinea una nicheka Sawa tutakutana merelani Arusha[emoji3][emoji3]
Muongoze best yangu Manengelo.hahahaha, mie sio bilionea wala milionea ,ila naijua hii biashara vzr mno ,yaani mno
Hahahaha, mie mambo mengi tatizoMuongoze best yangu Manengelo.
Mimi sijamaanisha kufanya biashara na mtu humu ndan..hebu nisome fresh unadhan mie sijitambui eh...!kuna ishu naitaka..ww niache
Sema kweli we mzeehahahaha, mie sio bilionea wala milionea ,ila naijua hii biashara vzr mno ,yaani mno
Hahahaha, kweli Rafiki , naijua hii kupitia marafiki wanaonizunguka ndio biashara yaoSema kweli we mzee
Hahahaha, nami nimemuelewa ,kwani hapo nyumbani si kuna soko limefunguliwa au inakuaje?huyu bibie anahitaji connection ya masoko,ndivyo nilivyoelewa,kwa kenya kuna marketing consultant mmoja nikimpata ntamuuliza soko za dhahabu lilipo na bei per gram
Hahahha we mzee ulikua hutaki nifike ngoja nijitokee mie nikuacheHahahaha, kweli Rafiki , naijua hii kupitia marafiki wanaonizunguka ndio biashara yao
Rafiki umefika hadi huku,Hahahaha
Hahahaha, baki bana,mie nishamaliza yangu ,now niko kiti kirefuHahahha we mzee ulikua hutaki nifike ngoja nijitokee mie nikuache
..Inategemea..Sijakuelewa ukifanya hii biashara una kaa huko kwenye migodi?
Njoo Musoma tufanye biashara ya samaki. Ukiweza kutoa tani 3 tu maisha umeyaweza. Nitakusaidia, karibu.