Kijana kijana
JF-Expert Member
- Mar 11, 2018
- 2,546
- 2,621
Mkuu hizo picha unatizama wapi?Hio picha inatoa maelezo mengi mkuu
Anyway humu tunatumia id fake hata picha zetu ni fake huoni kama kuna sku itakuumbua hio picha kwa vitu utavyoweza ku post
Sikushauri sna kutumia ur real picture but uamuzi ni wako kaka
Enjoy........[emoji23][emoji23][emoji23]
Soma vzurKilichagaa19 njoo huku ombi la ule uzi wako kutafuta mwanamme hapa utapata ufumbuzi
Habri wanajf mm nikijana wa miaka 25 natafuta marafiki wakike waliotayari katika kushauriana kuwasiliana na kusaidiana awe na umri kuanzia 19 hadi 23