Natafuta marafiki walio musoma

Mimi niko Nyasho, ungekua ke tungetafutana.
 
Musoma karibu kamunyonge
Nyakato
Mkendo
Mwembeni
Kibini
Ngoja wana musoma waje
Umepataja Kibini nikakumbuka wale samaki pale gengeni wanaopikwa na wake wa Mzee James.
Unapapata Carffonia Video Show??
Unaikumbuka Dear Mama Video Show??
Unamfahamu Castory Mumbara na Eze King mzee wa futi boli??

Niko Nyasho hapa kwa mzee Kimori karibu ka Kanisa la A.I.C ndio makazi yangu.
 
Naam mkuu unamfaham mkingira ok njoo nicheki kwa ile e mail tuwasiliane
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…