Natafuta marafiki walioathirika na UKIMWI (HIV Positive)

Natafuta marafiki walioathirika na UKIMWI (HIV Positive)

Mchagua jembe sio mkulima.... Eti kuanzia kiwango gani cha elimu? Unadhani kiwango cha elimu kinaweza kuwa kipimo sahihi cha upeo wa mtu? Anyways but i always hate such kind of option
 
Nahitaji beby girl wa kumuoa ambae yupo kweny matumizi ya dawa za kufubaza virus vya ukimwi ninapatikana Daressalaam umri wangu ni miaka 30
 
Natafuta marafiki wawe HIV positive, umri miaka 28- 35, elimu angalau form six ,mm ni msichana mtanzania nimegundua naishi na virusi vya ukimwi, nipo Kilimanjaro, ni mwajiriwa,nilimaliza kidato cha sita 2008 nikajiunga na chuo kimoja hapahapa Moshi, tumia
Email address Hii


glorianganga3@gmail.com
Nakupa ushauri nasaha kabisa kila kitu kujaribu kuna mzee mmoja hapa dodoma anatibu ukimwi njoo uanze kutumia dawa zake hakika utajuta ukiwa tayari niPM nitakusaidia wamepona wengi ana gharama kabisa kwa kuwa umejitangaza nitakulipia gharama
 
Back
Top Bottom