glorianganga
Member
- Oct 5, 2015
- 62
- 43
OkayUnajiamini kila laheri
Soma nilichoandika uelewe kabla ya kukomentSasa mbona unajitenga...kwanini unataka waathirika wenzio....???
Nakupa ushauri nasaha kabisa kila kitu kujaribu kuna mzee mmoja hapa dodoma anatibu ukimwi njoo uanze kutumia dawa zake hakika utajuta ukiwa tayari niPM nitakusaidia wamepona wengi ana gharama kabisa kwa kuwa umejitangaza nitakulipia gharamaNatafuta marafiki wawe HIV positive, umri miaka 28- 35, elimu angalau form six ,mm ni msichana mtanzania nimegundua naishi na virusi vya ukimwi, nipo Kilimanjaro, ni mwajiriwa,nilimaliza kidato cha sita 2008 nikajiunga na chuo kimoja hapahapa Moshi, tumia
Email address Hii
glorianganga3@gmail.com
Kumbe huyu dada alikua muwazi toka hajafariki!!Kiwango cha elimu kimenikwamisha.. ila tupo kama wew positive na tuna marafk wa kila aina.. kikubwa kupata furaja ya kwel na kuish bila stress
Kumbe huyu dada alikua muwazi toka hajafariki!!
Mwache apumzike kwa Amani! Dah mwendo kaumalizaKumbe huyu dada alikua muwazi toka hajafariki!!
Mambo ya multiple ID's mkuuKumbe huyu dada alikua muwazi toka hajafariki!!
Upo Mkuu!?Maisha ni kujikubali ulivyo...