Natafuta marafiki wanaompenda yesu waliokoka tualiane

Natafuta marafiki wanaompenda yesu waliokoka tualiane

ninawi

Member
Joined
Nov 14, 2011
Posts
13
Reaction score
4
Napenda kuwapata marafiki waliopo tayari au ambao wameokoka na wanaompenda bwana
 
kimapenzi au kiurafiki?wewe ni jinsia gani kwanza na umri wako pia!
 
Mi mwenyewe nampenda nipm tumalize hili suala usichelewe sana jitahidi
ili iwe rahisi unapatikana wapi?
wewe kama unamjua yesu ulimuona wapi mpaka ukampenda ?
Kama sio umbea tu huu utampendaje mtu ambae humjui wakati mimi unanipa masharti ?
Inawezekana unataka tuanzishe jukwaa la walokole na dini nyingine humu nenda kanisani ukawatafute ?

ASANTE SANA.....................
 
Napenda kuwapata marafiki waliopo tayari au ambao wameokoka na wanaompenda bwana

karibu sana jamvini mpendwa, tupo tumejaa tele!!

Bwana Yesu asifiwe sana!!

Glory to God!!
 
Napenda kuwapata marafiki waliopo tayari au ambao wameokoka na wanaompenda bwana
Tualiane ndio nini wee mlokole? Tunaogopa yasije tukuta kama wale waliokuwa na kibwetere!
 
Tualiane ndio nini wee mlokole? Tunaogopa yasije tukuta kama wale waliokuwa na kibwetere!

Nadhani alimaanisha 'Tulaliane' si unajua tena za walokole wetu wa kibongo? Anyway karibu mpendwa. Hivi unataka wanaompenda Yesu tu? Vipi wale ambao Yesu anawapenda au hawa-qualify? LOL!
 
Karibu sana jamvini wewe unataka wapendwa tu wawe marafiki zako!!!! hupendi kuwapata na wengine ukawapiga neno nao wakasalimisha roho zao! even kwenye ulimwengu wa digital Yesu anaokoa, anyway sijui hasa concern yako mpaka ukaandika hii meseji maana iko very short otherwise wapendwa tupo tumejaa wewe tu.Ila hilo neno kualiana sijui ulikuwa unamaanisha nini
 
Back
Top Bottom