natafuta marafiki wazoefu wa biashara

natafuta marafiki wazoefu wa biashara

jaqfantasy212

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
542
Reaction score
257
mm ni msichana mwenye umri wa miaka 27....ni mjasiliamali ... natafuta marafiki ambao tunaweza tukashauriana khusu biashara...ambao watapenda tuwasiliane kwa email: jacquee_rw@hotmail.com Phone: 0712 193159.
 
Nitakutafta,, sorry umeolewa ili nisikutafute usiku!
 
hii ndo misallocation of posts,.....asa business forum ndo inahusika na post yako kama unataka mambo ya biashara....labda biashara zetu zileeeee!! nakushauri iamishe post yako peleka kule business forum utashauriwa hata biashara ya kuuza bible mecca
 
Dada sina uzoefu wa biashara ILA business education imelala hapa kichwani..! Naweza nikatoa msaada wa kimawazo na theorojia zaidi.! Unaonaje nikutafute??? Mia
 
Back
Top Bottom