mm ni msichana mwenye umri wa miaka 27....ni mjasiliamali ... natafuta marafiki ambao tunaweza tukashauriana khusu biashara...ambao watapenda tuwasiliane kwa email: jacquee_rw@hotmail.com Phone: 0712 193159.
hii ndo misallocation of posts,.....asa business forum ndo inahusika na post yako kama unataka mambo ya biashara....labda biashara zetu zileeeee!! nakushauri iamishe post yako peleka kule business forum utashauriwa hata biashara ya kuuza bible mecca
Dada sina uzoefu wa biashara ILA business education imelala hapa kichwani..! Naweza nikatoa msaada wa kimawazo na theorojia zaidi.! Unaonaje nikutafute??? Mia
Dada sina uzoefu wa biashara ILA business education imelala hapa kichwani..! Naweza nikatoa msaada wa kimawazo na theorojia zaidi.! Unaonaje nikutafute??? Mia