Natafuta marafiki

Natafuta marafiki

Kafuta

Senior Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
119
Reaction score
29
Popote mlipo,mwenzenu natafuta watu wa kubadilishana nao mawazo, na wenye uzoefu ktk maisha.

Kwa sbb hapa JF ni sawa na nyumbani, jinsia yeyote, aliye serious ani-PM au email kwa atakayependa ipo.
 
Shuka chini kidogo kuna mlango umeandikwa MMU huduma hiyo ipo bwerere
 
Popote mlipo,mwenzenu natafuta watu wa kubadilishana nao mawazo, na wenye uzoefu ktk maisha.

Kwa sbb hapa JF ni sawa na nyumbani, jinsia yeyote, aliye serious ani-PM au email kwa atakayependa ipo.

I can be your friend if you want.....
 
Back
Top Bottom