Natafuta marafiki.

ForexTrader

Member
Joined
Aug 1, 2018
Posts
29
Reaction score
8
Mimi ni mwanaume, nimeajiriwa natafuta marafiki popote pale na wa jinsia zote. Lengo ni kubadilishana mawazo na kupeana fursa za maisha kalibuni.
 
Jf kweenyew una marafiki kibao wewe tu..
 
hilo jina lako wengine tutaogopa kuwa na urafiki na ww maana hatuwaamini akina forex na wenzake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…