kipakaMwitu
Senior Member
- Feb 19, 2009
- 158
- 23
Ahahahaah! Kati ya sifa za marafiki anaowahitaji huna hata moja...Mambo rafiki? Nikupe story gani sahivi?
Ahahahaah! Kati ya sifa za marafiki anaowahitaji huna hata moja...
watakuwa wanafarijiana...lolduhhh
na vipi ukimpata mwenye sifa hizo
lakini anashida kuliko zako..?
Story zenu zita noga kweli ?
au zitakuwa zamasikitiko tu kila siku...
watakuwa wanafarijiana...lol
Raha ya shida umuone mwenzako naye ana shida!duhhhh Kivipi ndugu yangu?
Natafuta marafiki nitakaokuwa nao kila kukicha kunipa story ili nisahau yafuatayo kichwan mwangu, Umasikini ulikithiri kijijin kwetu, ukosefu wa umeme, barabara na huduma za afya. Kila mwka natumia milion kadhaa kuwaleta town kwa matibabu ndugu, anayekuja hataki ondoka,akidai huku kwetu hakuna 'ucku'. NATAFUTA RAFIKI MWENYE SIFA ZIFUATAZO:- Awe mtz mwenye kuchukia ufisadi, mwanaharakat, mpenda nch, asiwe chama chochote chenye maslah binafs. Karibun tuliwazane!
Raha ya shida umuone mwenzako naye ana shida!
Ukiwa na shida halafu ukamuona mwenzako anakula raha..unazidi kuumia zaidi, shida zinadouble!
Tulianzishe kwa kweli...Duhh hii kanuni ngumu sana Rejao..
haya basi mi nawe tujaribu.. wasemajea?