natafuta marafiki

Change_it

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2010
Posts
279
Reaction score
84
heshima mbele to all JF members,natafuta marafiki wa kike wa kuchat kwa ajili ya kubadilishana mawazo,umri 18-22,for more info ni PM.
 
Mwaga nawewe CV zako, sio utake umri wa miaka 18-22 kumbe wewe una above 69.
 
sema unatafuta gals wakuwatafuna,kwani huwezi chat na boyz?
 
heshima mbele to all JF members,natafuta marafiki wa kike wa kuchat kwa ajili ya kubadilishana mawazo,umri 18-22,for more info ni PM.


Unachotafuta ni zaidi ya urafiki dogo, u just be open bana, afu huku hoja zako ndizo zitakupatia marafiki, kama ni marafiki wa kutafuta kwa namna hiyo nakushauri rudi kule kwenye fasibuku utakutana na teenagers wengi tu huku watu utapata mmoja mmoja sana kwa umri chaguo lako labda uongeze hadi kwenye 45 kama kweli ni kwa maana halisi ya rafiki!
Au nenda www.badoo.com huko pia kuna watoto lakini sijui kama utawaweza labda na wewe ni kama wao!
 
huo ni mtizamo wako dogo
 
dahhh ningependa kusajili CV yangu lakini huo umri umenitoa kapa.. Siku njema..😛oa
 
haujielewi wew kiumbe ina maana wanaume hawana mawazo au?? Au kuna mawazo ya kike na kiume sijakuelewa!
 
duh yaani hamna hata mmoja aliyejitokeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…