"natafuta marafiki......

Joined
Jul 9, 2012
Posts
11
Reaction score
6
Jina langu: mathew Umri wangu: 21 Natafuta: marafiki wa kuchati nao Umri : miaka 18-150 nakuendelea. Jinsia : MSICHANA/MVULANA. Napenda: marafiki wa kuchati na kubadilishana
mawazo, pia kushauriana
kuhusu mambo mbali
mbali, kama maisha,michezo,maendelo & etc. Naishi: dar es salaam. Kazi: Nasoma chuo. Dini: Mkristo. Kinywaji: situmii kilevi cha aina yoyote Mawasiliano: mathewrogers91@yahoo.com Simu: 0713943432.


Maelezo Zaidi: Napenda watu
wanaojiheshimu, pia
wanaomuheshimu Mungu
na kuthamini wenzao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…