Natafuta Marine Board Used Maeneo ya Goba [Ujenzi]

Natafuta Marine Board Used Maeneo ya Goba [Ujenzi]

Senior Boss

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2011
Posts
3,405
Reaction score
3,689
Habari Zenu Wakuu, Kama kichwa cha habari kisemavyo natafuta marine board used ili.

Niweze nunua nikajengee ukuta kwa zege kwenye kibanda changu. Site iko Goba Karibia na Joys Eslava. Many Thanks.

Mwenye Offer Anaeza Nicheck Inbox. Usafiri mpaka kufika site kwangu on Me.

Many Thanks

View attachment 1947502
 
Ni shiti za chuma zina ukubwa tofauti tofauti,zinawezakutumika badala ya marine board; huwa zinakodishwa
Asante san mkuu maana na mimi nina changamoto kubwa sana maana kwa sasa nahitaji marine board 100 kwa ajili ya slab na kila moja ni 48000 sasa kwa nini nitumie hela yote hiyo kwa ajili ya kazi ya mda mfupi tu basi....
 
Kwa dar nitazipata wapi hizi mkuu??
Unaweza kuwasiliana na mafundi wakakusaidia kukuelekeza sehemu wanapokodisha; kuna fundi nilikuwa namtumia amejenga slab nyingi sana, (fremu za juu na chini + makazi) unaweza kumtumia kwa kazi yako, pia anaweza kukupatia connection kama utamuhaidi kazi.​
 
Nashukuru sana tena sana ndugu yangu na je huyo fundi naweza kumpata wapi kaka unaweza kunielekeza tafadhali nitashukuru sana tena sanaa...
 
Nashukuru sana tena sana ndugu yangu na je huyo fundi naweza kumpata wapi kaka unaweza kunielekeza tafadhali nitashukuru sana tena sanaa...
Ulipata marine boards mkuu? Nategemea kufumua weekend hii,nyumba ipo kama unaenda Msumi naweza kukuuzia au kukukodisha.
 
Ulipata marine boards mkuu? Nategemea kufumua weekend hii,nyumba ipo kama unaenda Msumi naweza kukuuzia au kukukodisha.
Ndugu yangu ndio nimeona leo hii message hivi bado unazo au ulishaziuza tayari?? Unaweza kunijulisha tafadhali??
 
Back
Top Bottom