Senior Boss
JF-Expert Member
- Aug 19, 2011
- 3,405
- 3,689
Kuzipata hizo huwa ni changamoto, nakushauri ukodi plates
Ni shiti za chuma zina ukubwa tofauti tofauti,zinawezakutumika badala ya marine board; huwa zinakodishwaPlates zinakuaje Mkuu ?? Zipo vp hzi ??
Asante san mkuu maana na mimi nina changamoto kubwa sana maana kwa sasa nahitaji marine board 100 kwa ajili ya slab na kila moja ni 48000 sasa kwa nini nitumie hela yote hiyo kwa ajili ya kazi ya mda mfupi tu basi....Ni shiti za chuma zina ukubwa tofauti tofauti,zinawezakutumika badala ya marine board; huwa zinakodishwa
Kwa dar nitazipata wapi hizi mkuu??Ni shiti za chuma zina ukubwa tofauti tofauti,zinawezakutumika badala ya marine board; huwa zinakodishwa
Kwa dar nitazipata wapi hizi mkuu??
Nashukuru sana tena sana ndugu yangu na je huyo fundi naweza kumpata wapi kaka unaweza kunielekeza tafadhali nitashukuru sana tena sanaa...Unaweza kuwasiliana na mafundi wakakusaidia kukuelekeza sehemu wanapokodisha; kuna fundi nilikuwa namtumia amejenga slab nyingi sana, (fremu za juu na chini + makazi) unaweza kumtumia kwa kazi yako, pia anaweza kukupatia connection kama utamuhaidi kazi.
Ulipata marine boards mkuu? Nategemea kufumua weekend hii,nyumba ipo kama unaenda Msumi naweza kukuuzia au kukukodisha.Nashukuru sana tena sana ndugu yangu na je huyo fundi naweza kumpata wapi kaka unaweza kunielekeza tafadhali nitashukuru sana tena sanaa...
Ndugu yangu ndio nimeona leo hii message hivi bado unazo au ulishaziuza tayari?? Unaweza kunijulisha tafadhali??Ulipata marine boards mkuu? Nategemea kufumua weekend hii,nyumba ipo kama unaenda Msumi naweza kukuuzia au kukukodisha.
Marine kwa sasa 35k ...unapata
Nenda Buguruni...uliza kwa mchina ana size zoteZinapatikana wapi na ni za ukibwa gani kiongozi??
Asante sanaNenda Buguruni...uliza kwa mchina ana size zote