Natafuta mashamba kwa ajili ya kilimo katika mikoa ya Mbeya, Njombe na Songwe

Hasani Mkindi

New Member
Joined
Jun 29, 2018
Posts
1
Reaction score
2
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea.

Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana na kuwa mgeni katika kanda hizi.

Bila shaka naweza pata msaada humu ndani wandugu.
 
Vizuri mkuu. Hebu jipambanue zaidi.
Ukubwa wa eneo unalohitaji.
Zao ambalo ungependa kulima.
Upatikanaji wa maji.
Miundombinu ya barabara.
Bei unayokusudia kutoa kwa hekari 1.
 
Mbeya unapata shamba pia pana lipa
 
Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea.

Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana na kuwa mgeni katika kanda hizi.

Bila shaka naweza pata msaada humu ndani wandugu.
Unataka kulima nini tukupe location?
 
Ni jambo zuri kujikita katika Kilimo,,,, Naweza kukusadia kupata Shamba Njombe tuoa maelezo ya mazao unayo hitaji na kiasi cha Heka unazo hitaji
 
Wale Wa Mbeya na njombe plz contact me tuongee vizur 0627966734 nawaomba ndugu zangu
 
Back
Top Bottom