Hasani Mkindi
New Member
- Jun 29, 2018
- 1
- 2
Unataka kulima nini tukupe location?Mimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea.
Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana na kuwa mgeni katika kanda hizi.
Bila shaka naweza pata msaada humu ndani wandugu.
Ni jambo zuri kujikita katika Kilimo,,,, Naweza kukusadia kupata Shamba Njombe tuoa maelezo ya mazao unayo hitaji na kiasi cha Heka unazo hitajiMimi ni mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia Mbeya; nimeona bora nianze kujikita kwenye swala la kilimo kabla ubongo wangu hujagundua suala la ajira sio kitu cha kukitegemea.
Hivyo napata shida kidogo kupata au kujua wapi naweza pata mashamba ya kununua kwa bei ya chini kutokana na kuwa mgeni katika kanda hizi.
Bila shaka naweza pata msaada humu ndani wandugu.