Edson david42
Member
- Mar 22, 2017
- 27
- 9
Maeneo yapo mengi ungesema unapendelea upande upi hasa ukiweka mapendekezo itakuwa vyemaHabari wana JF....nahitaji shamba lenye ukubwa wa ekar 1 kwa ajili ya shughuli za ufugaji...kwa wale wanaofaham maeneo ambayo mashamba yanauzwa kwa hapa morogoro msaada wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok unaishi sehemu gani au njoo DM nitakupa mtu nami sio mwenyeji sana pia ila angalau nishanunua maeneo kadhaa kwa miaka hii 2 since nihamie morosina uenyeji wa kutosha hapa morogoro lakin nahitaji shamba lisiwe mbali sana kutoka morogoro mjin.....
Sent using Jamii Forums mobile app
niko nane nane broOk unaishi sehemu gani au njoo DM nitakupa mtu nami sio mwenyeji sana pia ila angalau nishanunua maeneo kadhaa kwa miaka hii 2 since nihamie moro
Mimi dada we mwana, tena tupo jirani kabisa mie nipo Kola B hapa, nitakupa namba ya mtu ana eneo mindu aliniuzia mimi huko
Habari wana JF,
Nahitaji shamba lenye ukubwa wa ekar 1 kwa ajili ya shughuli za ufugaji...kwa wale wanaofaham maeneo ambayo mashamba yanauzwa kwa hapa morogoro msaada wenu tafadhali
Sent using Jamii Forums mobile app