Mkuu, nina mashaka na umahiri wako katika utunzi wa mashairi yako.Habarini; Mimi ni mtunzi ghuli wa mashairi ya kiswahili. Kwa muda mrefu sana nina hamu ya kushindana na watunzi wenzangu wa mashairi, nikiwa na imani ya kushinda.
Ila sijawahi kusikia wala kualikwa katika mashindano.
Nikifwatilia mtandaoni nakuta mashindano yaliyopita muda ( aidha miezi miwili iliyopita), ila sijawahi kukuta mashindano yajayo.
LENGO KUU.
Kwa yeyote atayeona au kusikia mashindano ya utunzi wa ushairi yajayo, anijulishe haraka sana.
Huenda wazo hili,likamfaa katika maisha yakeMkuu, nina mashaka na umahiri wako katika utunzi wa mashairi yako.
Kwa haraka haraka nimeng'amua makosa katika utumizi wa lugha ya uandishi niliposoma maandishi yako.
Katika mashindano ya mashairi utakutana na wamilisi na mahiri wa lugha haswa, wajuao kucheza na tamathari, kunga nahau na mbinu zote za kisanaa kukuacha kwenye mataa. Nakushauri ndugu... Hata kama hujaweka bayana kazi mojawapo uliyoiandaa basi .. Ni heri ukajifunza kwanza kuimudu lugha ya kiswahili...
Usipende kuruka il-hali haujaagana na nyonga.
Inawezekana upo sahihi mkuu.Mkuu, nina mashaka na umahiri wako katika utunzi wa mashairi yako.
Kwa haraka haraka nimeng'amua makosa katika utumizi wa lugha ya uandishi niliposoma maandishi yako.
Katika mashindano ya mashairi utakutana na wamilisi na mahiri wa lugha haswa, wajuao kucheza na tamathari, kunga nahau na mbinu zote za kisanaa kukuacha kwenye mataa. Nakushauri ndugu... Hata kama hujaweka bayana kazi mojawapo uliyoiandaa basi .. Ni heri ukajifunza kwanza kuimudu lugha ya kiswahili...
Usipende kuruka il-hali haujaagana na nyonga.
KARIBU PMHuwa naandika kwenye Facebook, na kwenye madaftari yangu.