Natafuta mashine ya kufyatulia matofari

Natafuta mashine ya kufyatulia matofari

Baraker_88

Member
Joined
Nov 7, 2021
Posts
35
Reaction score
88
Habari wakuu,

Samahani naomba kufahamu hivi kuna mashine za kufyatulia matofari ya blocks zinazotumia umeme wa single phase? Maana asilimia kubwa vijijini kuna umeme wa single phase, na kama zipo, gharama yake inaweza kuwa Tshs ngapi?

Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom