Natafuta mashine ya kufyatulia matofari

Baraker_88

Member
Joined
Nov 7, 2021
Posts
35
Reaction score
88
Habari wakuu,

Samahani naomba kufahamu hivi kuna mashine za kufyatulia matofari ya blocks zinazotumia umeme wa single phase? Maana asilimia kubwa vijijini kuna umeme wa single phase, na kama zipo, gharama yake inaweza kuwa Tshs ngapi?

Natanguliza shukrani
 
Utatengeneza biskuti za mchanga badala ya tofali....shauri yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…