Natafuta mashine ya kukamua juisi ya miwa, nipo Dar es Salaam

Natafuta mashine ya kukamua juisi ya miwa, nipo Dar es Salaam

Sir himself

Member
Joined
May 5, 2023
Posts
7
Reaction score
7
Habari wa JF,

Kama Kuna mtu yeyote anafahamu sehemu mashine hizi zinauzwa naomba anijuze, au kama Kuna mtu anauza pia tuwasiliane.

0657380484
 
Kuna mtmbo used,Kinondoni studio. Kama bado upo,ulihitaji laki 8. Usipopata,sema nikuunganishe
 
Back
Top Bottom