Natafuta mashine ya kukandia mkate isiyotumia umeme

Natafuta mashine ya kukandia mkate isiyotumia umeme

HPAUL

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2011
Posts
410
Reaction score
567
Anayefahamu wapi zinapatikana mashine za kuchanganyia unga (kukanda) zisizotumia umeme. Uwezo na bei za mashine hizo ni muhimu
 
Unataka ya kutumia nishati gani? Mkono?? Then yakukanda kg ngapi?
 
Mashine ya mkono yenye angalau uwezo wa kukanda 20 kg kwa mara moja.

MKUU ukiipata au ukipata details zake naomba unidokeze na Mimi japo hata kwa SMS tuu
 
Unataka ya kutumia mkono? Khaa labda za kutoka sido na veta




Sent from Nokla using Jf app
 
Back
Top Bottom