Habari ya leo Jumapili,
Natumaini tuko sawa wote, wenye changamoto zozote poleni sana.
Natafuta mashine ya kukatia viazi, kwa ajili ya kutengeneza Crips.
Ningependa kujua bei, na inapopatikana au connections yoyote.
Nipo kanda ya ziwa, unaweza kuja DM au sms/text kupitia 0743051733